Saturday 18 July 2015

Mwendeshaji wa Magari ya Formula 1 Jules Bianchi amefariki Dunia july17, kutokana na Koma aliyokuwa nayo kwa miezi 9

Mfasransa Jules Bianchi ni mwendeshaji wa magari aina ya Formula 1 nchini Ufaransa alipata ajali katika mashindano ya Japanese grand prix mwezi wa 10  mwaka jana(2014),


Julis Bianchi alipata ajali katika mashindano hato ya Jjapanese Grand Prix 2014
katika michezo hiyo Julis alipata ajali hyo akiwa anaendesha gari aina ya Marussia formula 1 na kupeekea kupata matatizo kwenye kichwa chake na ndipo ikiampelekea dereva huyu kupata koma kwa miezi tisa, ambyo imepelekea kifo chake july17, 2015.
Familia yake  ilihuzunishwa na kifo chake pia pamoja na timu ake nzima ya Marussia ambayo kwa sasa inaitwa Manor(kampuni ya magari aina ya Manori)
Julis Bianchi pindi akiwa anaendesha Marussia
 
 
Gari aina ya Manor - Formula1
 

Related Posts

Mwendeshaji wa Magari ya Formula 1 Jules Bianchi amefariki Dunia july17, kutokana na Koma aliyokuwa nayo kwa miezi 9
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR