Kocha wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesimamishwa kazi siku hii ya leo June 21, 2015 na kamati ya ya shirikisho la soka TFF, baada ya timu ya Taifa kufungwa kwa mara nyingine tena siku jana na Uganda katika uwanja wa Amaan,
Zanzibar mabao 3-0 katika mechi kwanza ya kufuzu mashindano ya CHAN 2016.
shirikisho la soka TFF lilikaa kikao na kujadili na kuamua kumsimamisha kazi kocha huyo, pamoja na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo. TFF litatangaza upya benchi la ufundi hapo baadae.
Mart Nooij akitolewa uwanjani akisindikizwa na polisi katika mechi iliyo chezwa hapo jana |
KOCHA WA TAIFA STARS MART NOOIJ AMESIMAMISHWA KAZI LEO JUNI 21, 2015
4/
5
Oleh
kwetutz24