Sunday, 21 June 2015

ROGER FEDERER AMETWAA UBINGWA KWA MARA YA NANE KWA KUMFUNGA MPINZANI WAKE ANDRE SEPPI













Mchezaji maarufu wa nchezo wa Tennis Roger Federer  amendeleza record yake kwa kushinda mara nane katika ubigwa wa Halle(Halle tournament) kwa kumfunga Muitaliano, Andre Seppi katika seti zote walizo cheza.
Alimfunga MuItali huyo seti 7-6, 6-4 katika mchezo huo. ikiwa ni ufunguzi wa finali za Gerry Weber
Roger federer akitetea ubingwa wake ameweza kushinda mara nyingi katika uwanja wa Halle kuliuko mashindano mengine aliyo wahi kucheza.'
"wakati mzuri kwa mimi kupata ushindi mara ya nane" alisema Roger.
Roger Federer ametwa taji mara ya nne  baada ya kupata ushindi wake huko Dubai, Instanbul na Brisbane.
Roger Federer akiinua kombe lake juu baada ya ushindi dhidi
ya Andre Seppi.

Related Posts

ROGER FEDERER AMETWAA UBINGWA KWA MARA YA NANE KWA KUMFUNGA MPINZANI WAKE ANDRE SEPPI
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR