Saturday 28 May 2016

Video: Billnass - 'Chafu Pozi'

Msanii anaefanya vizuri katika game ya Hip Hop namzungumzia Billnass anatudondoshea tena video ya wimbo "Chafu Pozi" baada ya ile ya Ligi Ndogo video hii ameifanyia South Afrika ikiwa imeongozwa chini YA Director wa kwetu Studios.
Tazama ngoma yako hapo chini.
 

Related Posts

Video: Billnass - 'Chafu Pozi'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR