Thursday 31 March 2016

News Update: Wabunge 3 Wafikishwa Kizimbani...

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imewafikisha kizimbani Wabunge 3 walio katika kamati za bunge katika Mahakama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za rushwa.
Watuhumiwa hao.ambao ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mh.Victor Mwambalaswa Mbunge wa Lupa, Sadiq Murad Mbunge wa Mvomero na Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara, wanashtumiwa kwa kosa la Kuomba rushwa ya sh. 30 Milioni

Related Posts

News Update: Wabunge 3 Wafikishwa Kizimbani...
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR