Saturday 23 January 2016

Manchester United Yapoteza Mchezo dhidi ya Southampton

Southampton imemchapa Mancheser United goli 1 - 0 , Man U akiwa nyumbani kwake, goli hilo lilifungwa kupitia Charlie Austine (Southampton) katika dakika ya 87 ya kipindi cha pili cha mchezo huo.
Hii ni mara nyingine tena kwa Southampton kupata ushindi wakiwa nyumbani kwa Manchester United katika misimu miwili iliyopita,
Hali ya Manchester United kwasasa katika dakika 45 za kwanza za Mchezo ni mbaya. imekuwa ni vigumu sana kwao kupata ushindi katika dakika 45 za mchezo katika mechi walizo cheza wakiwa nyumbani kwao ama weyeji wa mchezo katika dimba la Old Trafford.
Na sasa Man U iko nyuma point 5 wakiwa nyuma ya Tottenham ambao wameshinda goli 3 - 1 dhdi ya Crystal Palace siku ya Jumamosi. Huku Southampton akiwa amebakiza point nne kumfikia Man U.

Related Posts

Manchester United Yapoteza Mchezo dhidi ya Southampton
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR