Friday 30 October 2015

New Music: Lyrica feat. Chris Brown – ‘Faded to Sade’

Chris Brown amekua akishughulika na mwimbaji na mwandikaji wa nyimbo Lyrica Anderson ambae hu anawandikia wasanii wengi wa mziki nyimbo zake. wote kwa paoja wametengeneza nyimbo inayojulikana kama "Faded to Sade".
Pia Lyrica yuko studio pamoja na Chris wakitenngeneza album ya Royality.
sikiliza nyimbo hiyo hapa chini.

Related Posts

New Music: Lyrica feat. Chris Brown – ‘Faded to Sade’
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR