Wednesday 8 July 2015

Rick Ross Anatarajiwa kudondosha Albam Mpya 'BLACK DOLLER'




Baada ya kutoka jela sasa ni mziki kwenda mbele. Rapa Rock Ross anatarajia kudondosha album yake mpya ya BLACK DOLLER siku chache zijazo.

Album inafuata baada ya albuma zake zilizopita ambazo ni Mastermind na Hood Billionaire amabzo zilidondoka mwaka jana 2014.
Rick Ross aliachiwa kutoka jela mwezi uliopita kwa tuhuma za uhalifu na kumjeruhi mlinzi wake. na sasa MMG pamoja na Meek Mill wamempa ushirikiano. Meek alipost kwenye mtandao wa twitterhivi ndivyo alivyosema;
  prayers up for Rozay!

Related Posts

Rick Ross Anatarajiwa kudondosha Albam Mpya 'BLACK DOLLER'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR