Wednesday 8 July 2015

FLOYD MYWTHER KUNYANG'ANYWA MKANDA WAKE

Floyd Maywether  avuliwa mkanda wake alioshinda dhidi ya Manny Pacquiao mjini Las Vegas baada ya kushindwa kulipa kiasi cha $200,000
kwa ajili ya shirikisho la ngumi duniani WBO. Mwisho wa kulipia mkanda huo ilikua ni July3, 2015 lakini bondia huyo hakuweza kulipoa mpaka siku ya mwisho na shirikisho la ngumi dunian WBO likaamuyua kumvua mkanda huo mpaka atakapo lipia. Na taarifa zinasema kwamba endapo hatolipia, basi mkanda huo atapewa Timothy Bradley.

Floyd Maywether ambae alipigana na Manny Pacquiao May2, 2015 alimshinda mpinzani wake kwa point nyingi na baada ya ushindi huo alipokea kiasi cha $180 Mill. kutokanna na bambano hilo.






Kwa story zaid ya hizi ninazo kupatia kutana nami facebook, twitter,gmail

Related Posts

FLOYD MYWTHER KUNYANG'ANYWA MKANDA WAKE
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR