Wednesday 8 July 2015

New Video; Sey Shey - 'Right Now'

Msanii wa Nigeria Sayi Shey ambae ameingia kwenye tuzo za MTV#MAMA 2015, sasa amekuja na wimbo mpya uliokyuwa una subiriwa sana na mashabiki, wimbo unaitwa "Right Now". 
 
video hii pia imetengenezwa chini ya Meji Alabi.
Sayi Shey pia amewahi kufanya collarbo na Wiz Kid katika wimbo wa Crazy
                                               
                                             bofya hapo kutizama video
                                              Seyi Shey - Right Now


kama unahitaji habari nyinyinge zaidi ya hizi basi nifuate katika facebook, twitter na gmail.com

Related Posts

New Video; Sey Shey - 'Right Now'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR