Saturday, 13 June 2015

YAMOTO BAND WATOA NGOMA MPYA "CHEZA KWA MADOIDO"

Yamoto Band watoa ngoma yao mpya  inayo julikana kwa jina la "cheza kwa madoido" chini ya producer Mesen Selekta. Watoa shukrani kubwa kwa Mkubwa Fela kwa kutoa mchango mkubwa katika kufanikisha ngoma yao mpya.
 sikiliza hii apa kama audio.

Related Posts

YAMOTO BAND WATOA NGOMA MPYA "CHEZA KWA MADOIDO"
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR