Thursday, 18 June 2015

WEMA SEPETU ATANGAZA KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUMU MKOANI SINGIDA

Aliye kuwa Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa bongo movi,  Wema Sepetu atangazani nia ya  kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida. wema anatarajia kuomba ridhaa hiyo kupitia chama cha mapinduzi (CCM) anatarajia kuchaku fomu hiyo 15. 7. 2015. Wema aliamua kuwa nia ubunge katika mkoa huo kwa kuwa  ndiko mama yake alipotokea.

Na katika mitandao ya kijamii washabiki wa wema sepetu wliandika ujumbe huu: Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliokuwa nao kwa madam. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari kumsupport madam wetu? Naomba mnipe jibu. wazo langu.
 
wema sepetu pamoja na mama yake akiwa amevaa nguo ya ccm iliyo kuw imetengenezwa
kwa maneno na meneja wake Martin Kadinda yanayosema:
…. #JanaIlikuwaNdotoLeoNimaamuzi #BeTheVoice #inawezekana #2015walktoremmember

Related Posts

WEMA SEPETU ATANGAZA KUWANIA UBUNGE WA VITI MAALUMU MKOANI SINGIDA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR