Monday, 15 June 2015

JEB BUSH ATANGAZA RASMI KUWANIA NAFASI YA URAIS KATIKA UCHAGUZI UJAO 2016

Jeb Bush akifanya kampeni
Aliekuwa gavana wa Florida Jeb Bush ametangaza rasmi jumatatu kuwa atawania nafasi ya urais mwaka2016. Alifanya kampeni za kuwania urais kupitia chama chake na Kampeni hizo zilifanyika maeneo ya Miami Dade College huko Miami Florida. Jeb Bush anawania nafasi ambayo ilishawahi kukaliwa na kaka yake George W. Bush na baba yake George  H. W. Bush. katika kampeni zake Jeb Bush alikosoa uongozi wa Obama juu ya sera za cuba.

katika kampeni zake huko Miami aliahidi atakwenda kuimarisha uchumi wa marekani na atakwenda kuimarisha mahusiano kati yao na Israel.
 " nchi yetu haiko mahala pazuri na swali  ni , tutaenda kufanya nini juu ya hilo? swali kwangu, nitaenda kufanya nini juu ya hilo?" alisema Bush katika kampeni zake. pia
alisema "sita chukua chochote na mtu yeyote kwa manufaa yangu" na alimalizia kwa kusema "nitaongoza kwa moyo na nitaongoza ilinishinde"
Jeb Bush akifanya kampeni

Related Posts

JEB BUSH ATANGAZA RASMI KUWANIA NAFASI YA URAIS KATIKA UCHAGUZI UJAO 2016
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR