Stephen Curry akishangilia baada ya kushinda kikapu |
Katika finali ya mchezo wa kikapu uliochezwa huko Marekani za zidi kutamba ambapo katika siku ya jana jumapili Cleveland Cavaliers akiwa nyumbani kwa Golden State Worriors alifungwa vikapu 104-91. hii ni mara nyingine tena Cleveland anapoteza mchezo.
Mpaka sasa Warriors wanaongoza kwa kushinda michezo 3-2. katika mchezo huo Stephen curry alishinda vikapu 37 na 7 rebound huku mpinzani wake King James akimshinda kwa vikapu 40, 14 rebound na 11 assist.
katika mzunguko wa kwanza Warriors na Cleveland walikua sawa kwa point 22-22 na mpaka kufikia kipindi cha kwanza kuisha (hulf time) Warriors waliongoza kwa vikapu 51-50 dhidi ya wapinzania wao Cleveland caverliers na kufikia mzunguko wa tatu Warriors waliongoza kwa vikapu 73-67 na mpka wanamaliza mchezo huo worriors walishinda kwa vikapu 104-91. mchezo mwingine unaofuata Warriors watakua nyumbani kwa Cleveland Cavaliers.
James akijaribu kufunga kikapu chake dhidi ya wachaezaji wa Worriors. |
CLEVELAND CAVALIERS WAPOTEZA TENA MCHEZO DHIDI YA GOLDEN STATE WARRIORS
4/
5
Oleh
kwetutz24