Msanii wa bongo fleva Ali Kiba, Jacquelin Mengi, Vanessa Mdee wameungana na shirika la kimataifa WILD AID wamezindua kampeni kwa ajili ya kupiga vita ujangili kwa wanyama pori, biashara za ndovu,
. na katika kampeni hizo Ali Kiba aliteuliwa kuwa Balozi wa kampeni hiyo ya kukomesha ujangili nchini.
Ali Kiba alishukuru kwa kupewa nafasi hiyo ya ubalozi na akaahidi kwamba atakwenda kusimamia hilo na kuhakikisha atatoa kila mchango atakao weza katika jitihada hiz za kulinda wanyama pori wasiuwawe na mjangili.

Ali Kiba alipata nafasi ya kutembelea mbuga za wanyama nchini ambapo alipata nafasi ya kukaa na tembo kwa muda wa siku tatu na pia alipata afasi ya kwenda nchini Kenya kuwaona tembo wadogo ambao wazazi wao walikufa kutokana na ujangili. alsiema bado ananafaasi ya kutembelea mbuuge nyingine za wanyama. Tumepata nafasi ya kuwa na vivutio vingi vya wanyama na watalii wengi wanakuja nchini kutazama ambapo wanatuingizia pato la taifa lakini bado tunawauwa wanyama pori, wanyama nao wana haki ya kuishi kama binadamu, alisema Ali Kiba.
alisema jambo hili la kupiga vita ujangili amelipokea kwa mikono miwili na atakwenda kuhakikisha wanyama hawauliwi. Aidha amesema yeye pamoja na Jacquelin Mengi na Vanessa Mdee watashrikiana na kuhakikisha ujangili unatokomezwa, lakini pia ameomba wananchi kutoa ushirikiano wakutosha kwa vyombo husika pindi wanapoona tukio la ujangili limetokea.
idadi inaonyesha kwa mba kipindi kilicho asilimia 60 ya tembo walipotea kutoka na ujangili.
ALI KIBA ATEULIWA KUWA BALOZI BAADA YA KUTOKA MAREKANI
4/
5
Oleh
kwetutz24