Thursday, 18 June 2015

TUZIDI KUWAPIGIA KURA DIMOND PLUTNUMZ NA VANESSA MDEE KATIKA TUZO ZA MTV MAMA














Dimond Platnumz na Vanessa mdee , ambapo Dimond ameingia kwenye kategori ya Best male na Best collaboration alioifanya yeye na Iyanya
katika wimbo wa Bum Bum, na Best Live Act, huku Vanessa Mdee akiingia kwenye kategori ya Best female,bado wanahitaji kura za kutosha kutoka kwetu katika tuzo za MTV MAMA. emb utuzidi kuwapigia kura warudi na tuzo bora. wananchi mnaombwa kupiga kura za kutosha.
 
BOFY HAPA

http://mama.mtv.com/voting/

VANESSA MDEE

                                   
Dimond na Vanessa Mdee

Related Posts

TUZIDI KUWAPIGIA KURA DIMOND PLUTNUMZ NA VANESSA MDEE KATIKA TUZO ZA MTV MAMA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR