Tuesday, 23 June 2015

PETR CECH ANATARAJIWA KUJIUNGA NA KLABU YA ARSENAL WIKI HII











Imeripotiwa hapo jana kwamba aliyekuwa  golikipa wa Chelsea Petr Cech anatarajiwa kujiunga na klabu ya Arsenal wiki hii.
Lakini mpaka sasa uhamisho huo bado hujafanyika rasmi na bado huja tangazwa rasmi na klabu zote mbili na bado mchezaji huyo ajakubali uhamishoo wake.
Hapo jana Petr Cech alizungumza kwenye mtandao wa kijamii tweeter  kupitia kampuni ya SPORTS PR COMPANY hapo jana akisema kama tulivyo wahambia kwamba uhamisho bado haujafanyika ila kama kutakua na habari zozote za uhamisho  mtajulishwa. 
mchezaji huyo atahamia klabu hiyo ya Arsenal kwa uhamisho wa Euro 11mill.




Petre cech bado hajathibitisdha uhamisho wake rasmi.

Related Posts

PETR CECH ANATARAJIWA KUJIUNGA NA KLABU YA ARSENAL WIKI HII
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR