Kundi la kigaidi la Al shabaab linampango wa kulipua nchi mbili za africa mashariki Kenya na Uganda katika kipindi hiki cha ramadhani.
Taarifa zilizo wafikia Uganda kwamba kundi hili la kigaidi linampango wa kulipua magari ya mafuta yaliyoko mjini Kampala ilikusababisha uharibifu mkubwa wa mali za watu katika mji huo na hata vifo pia, kuvamia vyuo vikuu na vyuo vya ushirika vya elimu katika mji huo. alisema kamanda wa polisi kampala Kale Kahiyura.
Wananchi wa mji wa kampala waombwa kutoa ushirikiano katika kutopa taarifa zozote kwa polisi pindi watu napoona uhalifu wowote unatokea nchini humo. pia wameombwa kutokaa maeneo ambayo hayana usalama/ulinzi wa kutosha wa polisi.
Mashambulizi kuongezwa nchini Kenya
Hapo nyuma kundi hili la kigaidi la kiislamu la Al shabaab lilifanya mashambulizi nchi Kenya katika chuo kikuu cha Garisa na kusababisha vifo vya watu 147 na majeruhi zaidi ya 70 lakini bado pia kundi hilo la kigaidi la kiislamu limepanga kuongeza mashambulizi nchini kenya kwakua kenya siku chache zilizo pita jeshi lake lilifanya mashambulizi juu ya kundi la Al shabaab huko somalia katika vijiji vya anole na kuday.
Aidha kundi hilo liliambia vyombo vya habari nchini kenya kwamba kwamba wataandika ujumbe kwa damu za watu wao na kwa hiyo waanze kuchimba makaburi na waandae makaburi.
pia walituumu serikali ya nchini Kenya juu ya mgogoro unaoendelea dhidi ya waislamu nchini humo. na hivi ndivyo walivyosema:
"Our message will be written to you not with words, but the blood of your people. Dig their graves and prepare their coffin's". haya ni maneno yaliyo semwa na kundi hilo la kigaidi Al Shabaab
tuombe ulinzi juu ya kenya dhidi ya kundi hili la kigaidi la Al shabaab
kupata stori zaidi fuatilia blog hii kwetuTz24.blogspot.com amzungumza nami katiak page ya ngu ya facebook. kwetu60s.com ama kwetutz24.com
AL SHABAAB KUPANGA KUVAMIA KENYA NA UGANDA KATIKA MSIMU WA RAMADHANI
4/
5
Oleh
kwetutz24