Makamu wa pili wa Rais wa Burundi Gervais Rufikyiri ameondoka nchini Burundi akihofia usalama wake nchini hapo baada ya kumwambia Rais Pierre Nkurunzia aache kuwania nafasi hiyo ya Urais kwa muhula wa tatu kwa kuwa ni ukiukaji wa katiba ya nchi.
makamu huyo wa pili gervious aliiambia France24 hapo jana kwamba ameondoka nchini humo kwakuwa chawezi kuendelea kumpa ushirikiano rais kw2akuwa anakiuka sheria ya nchi. na hivi ndivyo alivyo zungumza na France24:
"I left... because I was not able to continue to support the attitude of the president, his desire to lead the people of Burundi on the path of illegality," he told the broadcaster late Wednesday from Belgium.
ila msemaji wa serikali ya burundi alikanusha madai hayo na kusema kwamba makamu huyo aliondoka nchini humo kwa safari zake mwenye na sio kukimbia nchini humo. kwakuwa hakuna mtu yeyote aliemtishia makamu huyo wa Rais.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA BURUNDI AKIMBIA
4/
5
Oleh
kwetutz24