Saturday, 27 June 2015

WATU 27 WAMEUWAWA KIKATILI KATIKA HOTELI TUNISIA












Takribani watu 27 wameuwawa katika shambulio la kigaidi lilofanywa na watu wasiojulikana katika hoteli kubwa iliyopo pwani ya Tunisia.
 Maafisa polisi wa ulinzi  Tunisia walisema  katika mashambulizi hayo mmoja wa washambuliaji aliuawa na huku wengine bado wakiendelea kutafutwa.

shambulio hili lilifanyika katika mji wa sousse huko pwani ya Tunisia, mji huo huwavutiwa watalii wengi kutoka bara la ulaya na Afrika ya kaskazini. inasemekana kwamba shambulizi hili liliwalenga haswa watalii waliofika katika pwani hiyo ya Tunisia. Hili ni shambulizi la pli kufanyika katika hoteli za watalii tangu miezi miwili iliopita.
hii ni moja ya hoteli kubwa za kitalii nchini Tunisia iliyovamiwa na washabuliaji hao

Related Posts

WATU 27 WAMEUWAWA KIKATILI KATIKA HOTELI TUNISIA
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR