Saturday 21 May 2016

New Video: G Nako feat Nikki wa Pili, & Chin Bees - 'Arosto' (2)

Ni mwendo wa Aroasto na G Nako, Hivi karibuni msanii huyu wa kundi la Weusi amekua akifanya vizuri katika game ya hip hop.. G Nako amekuaj na Na video ya pili ya wimbo "Arosto" akiwa amefanya na Chini Bees pamoja na members wa kundi la Weusi kama Nikki wa Pili.
Video ya kwanza ya Arosto alifanya na Nisher. Video hii imeandaliwa chini ya Director Hanscana itazame hapa chini kwa dakika chache na tupia maoni yako kupitia facebook.

Related Posts

New Video: G Nako feat Nikki wa Pili, & Chin Bees - 'Arosto' (2)
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR