Tuesday 2 February 2016

Manchester United Yashinda dhidi ya Stocke City

Manchester United wakiwa wenyeji wa mchezo huo wameshinda Magoli 3 kwa 0 dhidi ya Stocke City katika mechi ya Ligi kuu ya Uingereza Primier League. Magoli yalifungwa na Jesse Liggerd katika dk.14 ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Goli pili likafungwa kupitia Antony Martial dk. 23 huku bao la Meisho la 3 likifungwa na Wayne Rooney katika dk.53 ya kipindi cha pili cha mchezo huo.
Ushondo huu unaiweka Man United katika nafasi ya tano wakiwa nyuma ya Arsenal kwa point tano.
Katika mchezo uliopita Manchester United ilipoteza Mchezo ikiwa nyumbani kwake dhidi ya Southampton, na hivyo kumweka Kocha wao Louis Van Gaal katika hali ngumu yakutaka kuondolewa klabuni hapo.

Related Posts

Manchester United Yashinda dhidi ya Stocke City
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR