Monday 11 January 2016

Lionel Messi Atwaa Taji ya Ballon D'or kwa Mara ya Tano..

Mwanasoka wa Argentina Lionel Messi anechezea Klabu ya Barcelona ya huko Hispania ameshinda Tuzo ya Ballon D'or kama mwanasoka bora Duniani kwa mara ya tano huku akiwabwaga wapinzani wake Christiano Ronaldo na Neymar
Katika Tuzo hizo Lionel Messi alishonda kwa kura  41.33% ya kura zotee akifuatiwa na Christiano Ronaldo 27.76% ya kura  na watatu akiwa ni Neymar 7.86% ya kura z zilizopigwa.
ikumbukwe kuwa hapo nyuma Lionel Messi aliwahi kutwa taji hiyomara tatu mfululizo.

Carli Loyd na Lionel- Messi
Kwa upande wa Wanawake Taji nyingine ilkwenda kwa Carli Lloyd anechezea Timu ya Taifa ya Marekani, baada ya kuahinda Magoli matatu (hat-trick) dhidi ya Japan katika Kombe la Dunia kwa Wanawake

Related Posts

Lionel Messi Atwaa Taji ya Ballon D'or kwa Mara ya Tano..
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR