Sunday 10 January 2016

Bale amkaribisha Kocha Zidane kwa Hat-trick....

Katika Mchezo uliochezwa hapo jana katika ya Real Madrid na Dportivo De La Coruna huko Spain,
Zinedine Zidane alikaribishwa rasmi Madrid baada ya Bale kuonyesha umahiri wakr katika mchezo huo akifunga hat-trick katika Dak. 22, 49,na 63.
Benzema alitangulia mbele kufunga goli lake la kwanza katika dak. 15 ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo. Goli lake la pili alilifunga katika dak. 90 ya kipindi cha pili cha mchezo huo.
Na hivyo kumaliza mchezo huo kwa ushindi wa magoli 5 - 0 dhidi ya wa pinzani wao Deportivo De La Coruna.
Baada ya Mchezo huo Zinedine Zidane ambae ni kocha mpya wa Timu ya Real Madrid alisema kuwa, anafurahishwa sana na ushindi alioupata ikiwa ni mechi ya kwanza kwake tangu alipoteiliwa kuwa kocha wa timu hiyo. pia aliendelea kusema kwamba haikuwa raisi kwa timu yake kupata ushindi wa magooli 5 katika mchezo huo.
"Winning 5-0 isn't easy against a side like Deportivo and I'm happy with our first game and our first four days of training." alisema kocha huyo.

Related Posts

Bale amkaribisha Kocha Zidane kwa Hat-trick....
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR