Mwanasika huyo
mwenye umri miaka 32 kutoka Ivory Coast amekua mchezaji wa tatu kushinda tuzo hizo baada ya mnigeria
Nwanko Kanu na Jay Jay Okocha kupokea heshima hiyo mara mbili.
Mashabiki wake
walimpigia kura mchezaji huyo kutoka Manchester City ambapo mwaka 2013 alijinyakulia ushind kwa
mara ya kwanza mbele ya Yacine
Brahimi, Pierre Emenekaubamayang Andre, Andrew Ayew na Sadio Mane.
Akizungumza na
BBC Toure alijisikia furaha kupokea zawadi hiyo
na hakuamini kama zawadi hiyo ingetokana mashabiki wake.
Amesema kuwa atakwenda
kutoa msaada kwa washindani wengine,na kusema kuwa mpira wa Afrika unakua na
unazidi kuwa mzuri na tunawachezaji wadogo wenye uwezo na mahir ambaoi wanazidi wanaibuka.I
Yaya Toure ashinda Tuzo ya Mwanasoka bora wa Mwaka Africa (BBC Africa Foot Baller of the year awards 2015)
4/
5
Oleh
kwetutz24