Wednesday, 23 December 2015

Somalia Yazuiliwa Kusheherekea Krismasi


Serikali ya Nchini Somalia imewazuia Wananchi wake kusheherekea Sherehe za Krismasi Mwaka huu kutokana na Imani ya dini ya Kiislamu nchini humo.
Afisa wa Wizara ya Din alisema kuwa, sherehe hizo hazi husiani kwa namna moja ama nyingine na Imani hii ya Kiislamu
Diri za kiusalama zimetumwa kuwatahadharisha  watu kutodanya mikutano ya aina yoyote.
Wageni nchini humo wameruhusiwa kufanya sherehe hizo wakiwa majumbani kwao, lakini hotelini na maeneo ya waxi yamezuiliwa kufanyika sherehe hizo.

Related Posts

Somalia Yazuiliwa Kusheherekea Krismasi
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR