Dr. Magufuli ametoa siku saba kwa wafanyabiashara wote waliokwepa kulipa kodi baaada ya kupitisha makontena kinyemela kinyume na sheria,na kusema kuwa atawachukulia hatua za kisheria endapo hawatalipa kodi hizo.
Alityazungumza haya hapo jana wakati akiofanya mkutano wake wa kwanza na wadau kutoka sekta binafsi TPSF jijini Dar Es Salaaam. Wakizungumza kuhusu sekta binafsi katika kukuza uchumi na wajibu wa serikali katika kutengeneza mazingira wezeshi
Dr. Magufuli alizitaka sekta binafsi kuongeza uwekezaji wake na kuangalia fursa nyingine ambazo ni muhimu katika kujenga nchini.
"Wale wenye makontena wasijifiche, ninatoa siku saba weakalipe kodi, tukiwakamata sheria itafuata.Nina uhakika sekta binafsi mkijipanga turtaikomboa hii nchi. Alisema Magufuli wakati akizungumza na wadau wa sekta binasfi.
Pia alitaka sekta binafsi kushirikiana na serikali ili kuboresha maisha ya wananchi.

Dr. Magufuli Atoa Kiama kwa Wafanyabiashara
4/
5
Oleh
kwetutz24