Wednesday, 9 December 2015

Christiani Ronaldo aweka Historia

                                          Real Madrid 8 - 0 Malmo

Karim Benzema 12, 24, 74

Cristiano Ronaldo  37, 47, 50, 58

Mateo Kovacic 70


Mreno Cristiano Ronaldo anaechezea timu ya Real Madridi ya huko Hispania ameweka historia nyingine wakati wakicheza na timu ya Malmo baada ya kufunga agoli matatu ndani ya dakika 11 za katika vipindi viwili vya mchezo huo. na hivyo kufikisha magoli 88 kabla hajaongeza goli lake la nne katika dakika ya 58.
Nae Karimu Benzema akafunga hat trick ya mabao matatu na goli la mwisho lika fungwa naMateo Kovacic.

Katika mchexo huo Real Madrid ilishinda  magoli 8 kwa 0 dhidi ya Malmo
Ushindi huu unafananishwa na ule wa Liverpool dhidi ya Besiktasi ambapo walishinda 8 - 0. wakati huo Liverpool ikiwa chini ya kocha wao  Rafael Benitez,
Eonaldo atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga zaidi ya magoli 10 katika hatua ya makundi huku akifunga magoli 11 ndani ya michezo 6. 

Related Posts

Christiani Ronaldo aweka Historia
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR