Monday 2 November 2015

Wakenya Waongoza Katika Mbio za New York Marathon

Wakenya wawili Stanley Biwott na Mary Keitany wameongoza kwa ushindi katika mbio za wanawake na wanaume za New York Marathon zilizofanyika hapo Jumapili.

Biwott aliweza kumaliza katika mbio za wanaume kwa mda wa saa 2:10:34 baada ya kumpiku Geoffrey Kamworor ambae ni mkenya mwenzake alie maliza kwa sekunde 48, na mshindi wa tatu alikua Lelisa Desisa Muethiopia mshindi Boston Marathon kwa mwaka 2013 na 2015 ambae alimaliza mbio zake kwa mda wa saa 2:12:10
Kwa upande wa mbio za wanawake Mary Keitany ambe ni bingwa mara mbili wa bio za London Marathon nae aliibuka kuwa mwanariadha wa kwanza kutunza Taji la New York Marathon baada ya muingereza Paula Redcliffe alietwaa taji hilo mwaka2007 na 2008.
Keitany alimshinda mwanariadha Aselefetch Mergie wa Ethiopia kwa mda wa saa 2:24:25.

Related Posts

Wakenya Waongoza Katika Mbio za New York Marathon
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR