Mchezaji bora wa Teniss kwa upande wa Tennis kwa wanawake Serena Williams ameamua kupumzika mwaka mzima bila kucheza Tenisi kutokanna na majeraha katika mwili wake.
Serena alipoteza mchezo wake wa mwisho katika nusu fainali ya mchezo wa tennis wa ufunguzi uko nchini Marekani. serena alisema kuwa amecheza mecheza mechi zote akiwa na majeraha mwaka mzima.
pia aliongeza kuwa
"I am taking a proactive step and withdrawing from tournaments in Beijing and Singapore to properly address my health and take the time to heal."
Serena ameshainda Australian Open, French Open na Wimbledon mwaka 2015, japo kuwa hakuweza kuchza mchezo wa US Open baada ya kutolewa na mpinzani wake Roberta Vinci kutoka Italy.

Serena Williams apumzika mwaka mzima kucheza Tenisi
4/
5
Oleh
kwetutz24