Monday 12 October 2015

Mitambo ya Umeme wa Maji Unatokana na Bwawa la Mtera yazimwa Rasmi Nchini Tanzania

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itazima mitambo ya umeme inayotumia maji hivi karibu kutokana na vina vya maji vinavyozalisha umeme huo kupungua kwa kiwango kikubwa.

Nguvu hiyo ya umeme (hydro-electric generation) imepungua kwa 20%. Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Tanzania kufunga mitambo yake ambayo ilikua na uwezo wa kutengeneza kiwango ha umeme kwa 35% .
Tukio hilo limepelekea kwa uzalishaji hafifu wa umeme nchini Tanzania na hivyo kusababisha nchi kuwa na migao ya umeme mara kwa mara.
Uzalishaji huu hafifu pia umetokana na kukosekana kwa Mvua za kutosha Nchini Tanzania na hivyo kusababisha mitambo hiyo kutoweza kufanya kazi katika ubora unaotakiwa.
Hadi sasa Tanesco imeamua kuzima mitambo ya maji ya Bwawa la Mtera.

Related Posts

Mitambo ya Umeme wa Maji Unatokana na Bwawa la Mtera yazimwa Rasmi Nchini Tanzania
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR