Rapa Snoop Dogg amekamatwa tena na Polisi nchini Italy akiwa amebeba kiasi cha dola $422,000 mkononi. hizi ni taarifa kutoka uongozi wa nchini Italy.
mwimbaji huyo alikuwa akisafiri kuelekea uwanja wa ndege huko Calabria, Kusini mwa Italy, ambako ndiko alikuwa ametoka kufanya show siku ya jumamosi.
Kiasi kikubwa cha fedha ambacho mtu yeyote wa Ulaya akiwa uwanja wa ndege ni Paund 7,000 sawa na Dola $1000.
Wiki iliyopita Mmarekani huyu alisimamishwa na polisi akiwa nchini Sweeden akidhaniwa kuwa amebeba bangi kwenye gari yake.
alikosoa na kusema kuwa huo ulikuwa ni ubaguzi wa rangi lakini Polisi wa nchini Sweden bado waliendelea kuseam kuwa bado hawajapokea majibu kutokana na majaribio kujua kama alikuwa Snoop alikuwa na bangi katika gari yake.
Snoop alikamatwa akiwa anaelekea uwanja wa ndege baada ya kufanya show huko Italy. polisi walisema kuwa msanii huyo anatakiwa kurudisha fedha hizi na faini juu. na nusu ya fedha hizo zilichukuliwa.
Lakini mwanasheria wa rapa huyo alisema kuwa msanii huyo alipata fedha hizo kutokana na show aliofanya Ulaya kwahiyo hana kosa lolote.
Snoop anatarajiwa kwenda kufanya show nchini Uingereza siku ya Jumapili huko Kendal Festival.
Snoop Dogg amekamatwa tena na Polisi nchini Italy kwa kosa la kubeba kiasi cha Dola $422,000 mkononi.
4/
5
Oleh
kwetutz24