Kocha wa Manchester United Louis Van Gaal amesema kwamba golikipa David De Gea hatoweza kuhiriki katika mechi ya ufunguzi wa mechi za msimu ya leo, Jumamosi dhidi ya Tottenham.
Taaifa zinasema kuwa De Gea anataka kuelekea Real Madrid.
Van Gaal amesma kwamba"Tumekuwa tukimchunguza katika mazoezi na mechi kadhaa na amekuwa si De Gea yule wa mwaka jana tena".na kwaqmba hachiz katika kiwango kama mwaka uliopita.
aliongeza na kusema kuwa, nadhani usajili mpya wa Sergio Romero
, Anders Lindergaard, ama Sam Johnstone utaweza kuziba pengo lake.
David De Gea Kuikosa mechi ya leo
4/
5
Oleh
kwetutz24