Mahakama ya Nchini Libya ime muhukumu Saif al-Islam Gaddaf, mtoto wa Col Muammar Gaddaf na wengine nane hukumu ya kifo cha kunyongwa kutokana na uhalifu wa kivita uliohusishwa na mapinduzi ya mwaka 2011.
Washiriki zaidi ya 30 wa Col Gaddafi walijaribu kukandamiza ama kulazimisha maandamano ya aman wakati wa mapinduzi yaliyoibuka kipindi hicho.
Saif al-Islam hakuonekana Mahakamani na akatoa uthibitisho/ushahidi wake kupitia Video
kwasasa anashikiliwa na kundi la Waasi kutoka mji wa Zintan ambalo limekataa kumwachilia.
Aliyekuwa kiongozi wa Habari nchini Libya katika Uongozi wa Gaddafi, Abdullah al-Sennusi pia ni mmoja wa wale ambao wanakwenda kukabiliana na hukumu hiyo ya Kifo kwa kupigwa risasi, akiwa alikuwa kama Mbunge wa Baghdadi al-Mahmoudi.
ia Saif al-Islam anatafutwa na Makama ya kiataifa kwa tuhuma dhidi ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu dhidi ya ubinadamu.

Saif al-Islam Gaddafi |

Mtoto Wa Gaddafi ahukumiwa hukumu ya Kinyongwa kutokana na Uhalifu wa Kivita
4/
5
Oleh
kwetutz24