Thursday, 30 July 2015

Daktari wa Meno nchini Marekani ajutia uwamuzi wa kumuua Simba Cecil nchini Zimbabwe

Daktari wa Meno aliesadikika kumuua Simba mwenye jina la Cecil sasa anajutia uwamuzi wake wa kumuua Simba huyo nchini Zimbabwe.

inadhaniwa kuwa Walter Palmer kutoka Minnesota alilipa kiasi cha dola 450,00 sawa na euro 32,000 kwa ajili ya kumwinda Simba huyo.
Simba huyo aliekuwa anaaminika kwa kuwa na urafiki na binadamu, na kusaidia katika kuongeza watalii katika mbuga ya Hangwe nchini humo, alikuwa amatumiwa na wachunguzi kutoka  chuo kikuu cha Oxford kwa ajili ya mafunzo.
Sasa Zimbabwa inapambana ilikudhibiti uwindaji haramu.inokuwa tishio kwa maisha ya wanyama  katika mbuga hiyo.

Related Posts

Daktari wa Meno nchini Marekani ajutia uwamuzi wa kumuua Simba Cecil nchini Zimbabwe
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR