Hivi ndivyo tuzo za KTMA zilivyo tamba. na hizi ni baadhi ya picha zilizoonekana siku ya tuzo za KTMA na jinsi zilivyo tamba kuanzia kwenye red carpet mpaka ndani ya ukumbi. Ali Kiba alitamba katika tuzo hizo, na tuzo 34 zilitolewa kwa wasanii walioshinda.
Mrisho Mpoto akinyanyua juu Tuzo yake wimbo bora wenye vionjo vya lugha ya kiswahili |
Pro J. kwenye red carpet |
shaa akipokea tuzo kwa niaba ya Dimond platnumz |
ndugu wa karibu akipokea tuzo ya tano ya Ally Kiba |
Ommy Dimpozi kwenye kapet akihojiwa. |
Joh Makini baada ya kupokea tuzo yake. Kama mtunzi bora we nyimbo za Hip Hop |
TUZO ZA KTMA 2015 ZILIVYO POKELEWA : PICHA ZILIZO ONEKANA
4/
5
Oleh
kwetutz24