Tuesday, 29 December 2015

VIDEO: WIZ KHALIFA – ‘KING OF EVERYTHING’

Khalifa anakujia na Video yake "King of Everything".kwa ajili ya mashabiki wake katika kipindi hiki.
Hivi karibuni Khalifa alitangaza kuwa Project Khalifa iliyobeba track zake ambazo bado hajaziachia ataidondosha hapo January ikifuatiwa na Rolling Papers2.
Itazame King of Everything hapa.

Related Posts

VIDEO: WIZ KHALIFA – ‘KING OF EVERYTHING’
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR