Ikiwa zimebaki siku chaceh tu msanii huyu adonndoshe album yake mpya Royality, Chris Brown anakuletea video ya wimbo wake "Back to Sleep" ambapo mpaka sasa ameshakwisha achia video ya wimbo wake fine by Me, Zero/ Liquor.
Chriss atadondosha album yake mpya Dec.18.
Itazame video ya wimbo wa "Back to Sleep" hapa chini.
Chriss atadondosha album yake mpya Dec.18.
Itazame video ya wimbo wa "Back to Sleep" hapa chini.
Video: Chris Brown – ‘Back to Sleep’
4/
5
Oleh
kwetutz24