Tuesday 3 November 2015

Video: Tinashe ft Chris Brown - 'Player'

Siku chache tu zilizo pita Tinashe aliachia kionjo/ behind the scene ya wimbo huu, sasa Ameamua kuudondosha wimbo huo "Player" akiwa amemshirikisha Chris Brown.

wimbo huu ni single ya kwanza ya Tinashe katika album yake ijayo ya Joyride
Tinashe amesmea kuwa chris ni msanii nwenye kipaji na anafurahia kufanya nae collabo ya pamoja.
Itazame video hiyo hapa chini.

Related Posts

Video: Tinashe ft Chris Brown - 'Player'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR