Monday 19 October 2015

New Music; Justine Bieber feat. Selena Gomez - 'Strong'

Justine Biaber akishirikina na Selena Gomezi amekuja na single yake mpya ya 'Strong'.
Wawili hawa walikua ni wapenzi wazamani na mpaka sasa wametengana. lakin wameweza kushirikiana katika kutengeneza single hii ya "strong".
Justine Bieber anatarajia kudondosha Album yake ya Purpose Nov.13.
Sikiliza ngoma hiyo hapa chini.

Related Posts

New Music; Justine Bieber feat. Selena Gomez - 'Strong'
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR