Tuesday 13 October 2015

Kanye West Apewa Ushauri Na Rais Obama Juu ya Mpango Mzima wa Kugombea Urais Mwaka2020


 



A photo posted by Kim Kardashian West (@kimkardashian) on
Rais Obama akiwa anazungumza na umati wa watu katika Kamati ya Taifa ya Kidemokraisia ya kuchangisha ametoaushauri kwa  rapa Kanye West ambae alitangaza kugombea Urais Mwaka 2020.
Mbele ya Umati wa watu 1,300 wanaomsaport katika hilo, Rais Obama alishughulikia Mbio za uchaguzi za rapa huyo na pia kutoa Kampeni zake.
Tazama Jinsi Obama alivyo kuwa akitoa Ushauri kwa Rapa huyo.

Related Posts

Kanye West Apewa Ushauri Na Rais Obama Juu ya Mpango Mzima wa Kugombea Urais Mwaka2020
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR