Wednesday 7 October 2015

Flora Mbasha afuta kesi ya Talaka dhidi ya mume wake

 
Mwimbaji wa nyimbo za Gospal Flora Mbasha ameamua kufuta kesi ya talaka dhidi ya mume wake,
Flora amesema kuwa bado anampenda muwe wake na wanataka wakuze familia yao. Baada ya kutoka mahakamani Wakili wa Emmanuel mbasha amesema kuwa wote hawa wawili wamekubaliana na kufuta kesi hiyo.akizungumza na Ayo Tv.
Pia wakili huyo alisema kuwa Flora alikuwa anataka kufuta kesi hiyo mapema baina yao iliwarudiane kwakuwa bado alikuwa anampenda.
pamoja na hayo yote tatizo liko kwa Emmanueli Mbasha ambae bado hayuko tayari kurudiana nae.
Flora Mbasha alifungua kesi hii Zaidi ya mwaka mmojau uliopita mahakamani, juu ya kesi ya Ubakaji iliyohusishwa na Emmanuel Mbasha na kuwa yeye alikuwa anataka talaka.

Related Posts

Flora Mbasha afuta kesi ya Talaka dhidi ya mume wake
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR