Friday 14 August 2015

Davido afikisha mashabiki 1milion kwenye akaunt ya Instagram.

Msanii kutoka nigeria Davido sasa amekua ni msanii pekee kutoka barani Afrika ambaye amefikisha followers/ mashabiki 1milioni kwenye akaunt yake ya Instagram
akiwapita wasanii wengine wa Nigeria kama vile  D'banj (317k followers), Don Jazzy (738k followers) and Wizkid (941k followers)
Davido aliwashukuru mashabiki wake kupitia akaunti hiyo na wengine kote duniani.

Related Posts

Davido afikisha mashabiki 1milion kwenye akaunt ya Instagram.
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR