Thursday 2 July 2015

RICK ROSS SASA YUKO HURU

Rapa wa Marekani Rick Ross ameachiwa kutoka jela kwa mdhamana wa Dolla 2 mill.

rick ross alikamatwa na polisi June24 ambapo alikutwa na tuhuma za uhalifu wa utekaji na matumizi ya silaa aina ya pistol na kumshoot mlinzi wake, ambae alipata majeraha shingoni na kwenye meno. alikamatwa yeye pamoja na bodyguard wake.

wakati wa kesi hiyo iliyo kuwa ikiendelea siku ya jumatano, July1, 2015, katika mji wa Georgia marekani. Jaji amethibitisha kuachiliwa kwake baada ya kutoa mdhamana wa dolla 2mill, ikijumuisha 1$mill. kwa ajili ya  ex- hollyfield anayo imiliki na locoal property, na dolla 500,000 kuhakiki mdhamana na dolla 500,000 nyingine mkononi.(in cash)
                                          video akiwa mahakamani
Ross akiwa mahakamani



kwa story zaidi kutana nami facebook, twitter na gmail.com

Related Posts

RICK ROSS SASA YUKO HURU
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR