Saturday, 25 July 2015

Hatimae Chris Brown aondoka Nchini Philipins

Msanii wa R&B Chris Brown ameachiwa huru kuondioka nchini Ufilipino baada ya msani huyo kuzuiliwa kuondoka nchini humo kwa siku tatu. Inadaiwa kuwa msanii huyo alitakiwa kulipa kiasi cha dola $1 mil.
kwa ajili ya kufanya show nchini humo manila ambayo hakufanya na ndipo akazuiliwa kuondoka mpaka arudishe kiasi hicho cha fedha. 
Chris aliruhusiwa kuondoka nchini humo baada ya mwandishi wa habari nchini humo kusema kuwa Chris ameachiwa huru na hakuna madai tena juu yake, hii ni baada ya chri kufanya malipo kama sheria ilivyo dai.
Baada ya hapo msanii huyo alifurahi na kuandika kwenye mtandao wa twitter kuwa;
  “Manila, it was fun, I love y’all, man,” he crowed, adding, “Party tonight! Turn up!” 

lakini hapo nyuma katika mtandao wa twitter Brown alisema kuwa yeye hausiki na lolote kuhusiana na madai hayo na kwamba yeye alikwenda kufanya show na sio vinginevyo...

Alisema;
“I have nothing to do with anything going on right now. I came back to Manila to do a make-up show for New Years. I did the show three days ago.”
aliendelea kusema, 
“This is a very serious situation and someone needs to be held accountable for mixing my name up in all this. I’ve done nothing wrong.”
Chris sasa ataendelea kufanya show zake, nchin Israel, Cyprus wiki ijayo kama kawaida kabla ya kurudi Marekani.

Related Posts

Hatimae Chris Brown aondoka Nchini Philipins
4/ 5
Oleh
Show Comments: OR