Rais wa FIFA Sepp Blastter anafanyiwa uchunguzi na maafisa wa marekani ili kuthibitisha TUHUMA ZA RUSHWA zinazo mkabili, vyombo vya Habari vya Marekani. Taarifa hizi zimekuja baada ya Rais huyo kutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa wake. wakati huo huo waendesha mashtaka nchini Marekani wanaofuatilia tuhuma za rushwa walikamata maafisa 7 wa Switzerland kata ya 14 walio kutwa kwenye kashfa hiyo.
RAIS WA FIFA SEPP BLATTER ATANGAZA KUJIUZULU
4/
5
Oleh
kwetutz24