Waziri Mkuu wa Tunisia Habib Essid amesema serikali imepanga kufunga misikiti 80 wiki ijayo.
kufuatia mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa nchini humo. waziri mkuu alidai kuwa misikiti hiyo inachochea ghasia nchini humo.
inasemekana kwamba mashambulizi hayo yalifanywa na na kundi la kiislamu nchini humo. http://kwetutz24.blogspot.com/
MISIKITI 80 KUFUNGWA NCHINI TUNISIA
4/
5
Oleh
kwetutz24