Mavuoko sasa anakuwa msanii wa nne kusainiwa kwenye Lebo hiyo.
Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii nne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darling ambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na jumla ya wasanii nne Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’ taarifa kutoka Millard Ayo.Wolcome to the Family @richmavoko Let's take Bongo fleva to the world! https://t.co/nkclIySHZK— Chibu Dangote (@diamondplatnumz) June 2, 2016