Mchezaji huyo mwenye umri miaka 25 ambaye atakosa mechi za Euro 2016 kutokana na majeraha amekua mchezaji wa kwanza kusajiliwa chini ya kocha moya wa Man city Pep Guardiola.
Hata yeye alithibitisha hilo kupitia akaunti yake ya twitter.
@MCFC ANNOUNCE GUNDOGAN! 😉— Ilkay Gündogan (@Guendogan8) June 2, 2016