
Kundi la Sauti Sol nchini Kenya wamedondosha single yao mpya ya "Isaballa" baada ya ule wa shake yo bam bam..
wimbo huu utakuwa katika album yao mpya ijayo ya Live and Die in Africa.
tazama na download lyrics za wimbo huo.
All about News, entertainment, Music en Videos, Sports & Gossip,